Mkubwa El-chapo

haina noma

Mkubwa El-chapo
haina noma

13 Plays

30 Oct 2020

haina noma endelea kuua×2 bro haina noma ipo siku nitatusuwa haina noma endelea kuua×2 haina noma ipo siku nitakuchukwa haina noma endelea kuua×2 niko poa nani ndo anataka kusimuliwa haina noma life nimeshaanza kuizoea haina noma leo naanguka kesho wima natembea haina noma wewe na wenzio mukiniongelea hainipi homa ju najuwa nawainspeya haina noma dem wangu ukimfagilia ila utakula kona siku nikikuamulia usione noma dadako kunipanulia me ni noma ndo maana ananifagilia

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like