thiago
thiago

thiago

thiago

5 Plays

20 Oct 2020

Yoooo naitwa thiago naishi na washkaj ila katolika ushkaji kuna wakat mutamwagiana maji kuna wakat mutataka mtaji kuna wakati mutaongeza juhudi ila mm naomba mafanikio ili nipate kuongoza na ndo ilivyo nikifanikiwa nitajitahidi niwe kiyooo na nikipata hela cha mwanzo nitafungua acount bank sifungui zipu washkaji sio kama nitawasahau majukumu ndio yatayonikabili so musione kama mm ni mshkaji feki kwenye dili siwashtui

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like