Xeta
Xeta

❎pressure❎ Xeta

❎pressure❎ Xeta

19 Plays

17 Oct 2020

kuna mbogi kuna urogi kuna soki na kuna hockey cheki ni makarao na marithe wanatarget kijana Wa mathe chunga buda hao mafathe juu watakumada usipotoka kiukangethe mbona sasa kumada maboyz mtaani odinare hana say anawachwa mataani stress after landlord ametufukuza makejani ndo maana nilianza kutumia madre hadharani hakuna job ya kuweka pesa mfukoni nikipata chakula inabidi kulamba hadi na sahani nang'ang'ana kuji keep mum ananiitisha za hospitali pressure pressure nitalipuka akili ona naweka blind eye shida ziwapige sasa I don't care kitu kidogo nikipata ninawapatia na hamtosheki bado kwani mnataka kunimaliza nikona plans nikona dreams ndo maana nakula ugali na sio chips na kuna sanse ako mahali anangoja nimpee ya dish pressure pressure pombe ndio nitasip mnanipa pressure mwingine anasema hajanyesha sijui niende kesha ama nifanye tuh kuhepa nasaka madoh hazipatikani nikipigia mzae ni mteja hapatikani nikitafuta socks moja haionekani pressure pressure na si utani naumwa na kichwa sitaki kutumia mbichwa dem anataka kukulwa ananishow kila kitu itakua murwa ananipa loving ingine ya muthurwa bado pressure pressure itanimaliza pressure pressure itaniua

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like