star make

15 Plays

14 Oct 2020

sim zima washa gas, washa moto acha stori nyingi kama mpoto mwepesi ile size ya msokoto mwepesi ile kinyesi cha mtt lady know suti juu chini moka majirani macho kuwatoka miondoko ukimove, ukiondoka kukufata nyuma siwezi choka black colour ile rangi ya coca urefu over twiga umenyooka wapambe nuksi wanachana mpk sofa wanacheza wakijaa nawaokota macho kama habari ndio reporter u make me crazy nimenyongorota kila nilalapo nakuota nimejichokea unanikokota viuno taratibu na sio mota namiliki yanga hv we ndio nyota star make, make, make star make , make , make srar make, make make star make , make najikinga na nalindwa na upinde na mshale rukusa we njoo unitawale bila kesi kam kuvuruga hewa free kama mwanzo nilishapewa ukienda kule utachezewa na ukirudi huk utapokelewa na siku hazigandi sheri leo tuko wote huwezi feli, kwengne sitambi sheri tutakufa wote, wote kweli tulipotoka ni balaa, ni balaa aisee siwezi choka naona raha, raha aisee living large life like movie bora ugali ule ushibe chukua na mchuz washamba wanapga tu mirunzi check kama vile wanafunzi michezo we mwenyew ndio mkufunzi vigezo vingi kushinda ujuzi star make, make, make star make, make, make star make, make, make star make, make

1 Comments

Leave a comment

You may also like