bazil macha

sili ya hip hop

bazil macha
sili ya hip hop

11 Plays

10 Oct 2020

nipe Pepsi baridi we mwali. niweze kuamsha mwili na akili. ili nihimili sili ya hip hop. ukiwa una rapp aina maana kuwa rafu tunafanya mziki wa hip hop. unao tufanya tu feel up. when I take idea in hip hop. in the first time i'am rap. my soul talk to me never give up. that way now i'am a rapper in a map. nafanya mziki ili kutafuta riziki. ila sijawai wa boa mashabiki icho kitu kinafanya tuwe marafiki wanapo tu support kwenye mziki. wanao halibu dila ambao awa ridhiki. wanafanya mziki na kutoa shit. Ni ma blackground awataki kosa yao tiki. nacho amini kuto kata tamaa. ata wakija niita fukala. chini chini watani tusi fala. wataongea sana me na sign muamala

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like