RICHARD
RICHARD

god bless

god bless

25 Plays

22 Sep 2020

god bless mex5 namshukuru mama yangu kwa kuni leta duniani, nilizaliwa 2003, nilipata dua zote kote kwa wazee, sahii nimekua nimepata yote yadunia, kweli kikulacho kinguoni mwako, mdthania kumbe sie, nilimpatia ubavu wangu wakulia, akaugeuza wake wakushoto, mama kwa machozialilia na moyoni akajifunza kuvumilia, nilihisi ulimwengu umenikimbia, wenye walinambia kisa nime potea, maskio nilieka pamba sikujali walio, ongea riziki anatoa nimola manani kwavyovyote awezi kuzuia, thanks mama kwa kunifuga kwa ujasiri sababu wandei nitatoka namabless, God bless mex3, usilete shida msomali tandale, ukileta shida nitakupiga kambale, jinalangu Richard watu nanijua, usinione nimenyamaza ukadhani nikokimia, bado na kuchana wefala usilete shida, kama unajaa funga maskio tu, tangulini mbuzi kabweka maajabu ya mchawi eti anataka kushinda na raisi wakati bado yupo nyuma, wahenga walisema usishindane na mkubwa wakati bado, god bless mex3

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like