funwa

17 Plays

15 Aug 2020

spidi Kali Kama npo kweny defender tareh ngapi hebu Cheki kweny kalenda nateleza kweny beat Kama nmekula mlenda nmekua kisu ona nawakatakata nkikutukana kanshitak hata basata freestyle Kama wembe nawakata freestyle kweny soka m messiiii wanasema we Mbon Kama p ze mc nawaambia m nkchana hawanifikiii we rapa gani Una saut Kama Rosa ree mtaan wananiuliza we Mbon mkal unatuunguza Kama Una tindikali mistari yako mbona mikal unavyochana Kama Upo juu ya bahari

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like