Stephen Owiti

Tuma kitu

Stephen Owiti
Tuma kitu

9 Plays

06 Aug 2020

Kwa mbosho nina rwabe mbele nyuma Na bado inafaa nifike Ronga Niko railways buda nimenuna Najaribu kuskiza madondaa Fresh keja amedai hataki skuma Amechoka na nguo za Gikombaa Karanjaa kuna dooh anafaa kutuma Niweke kwa hii number Buda boss tuma kitu Na utume pia na ya kutoa Manzee fom sio poa Yeah all I do is win kama Khalid ama Hus man Kamaru Leo ni renji staki looks za Subaru Mi bazenga swag napiganga look ya bumbaru Ndo nifike hapa Amen ni Mungu Hii kitu huwanga ni tamu but again ni uchungu But mi ni rapper nawapeleka na rieng Na kaa ni mashini mi huendesha manyien Yesu ni baba staki niende na jachien Yes bana imehit nikiwa na Bien Hatujaanza juzi hii ni lugha ya zamani Jeshi yangu ya bangi inaivuta hadharani

2 Comments

Leave a comment

🔥❤️

4 years ago

You may also like