king me

14 Plays

04 Aug 2020

vitu mi husema siezi virudia Tena,na ndo manake mi husema mistari mi hutema na naachia machizi wanameza,wale wasee waujaribu kusema kitu nimesema,waubaki meno yanatetema,na wakishasema kitu nimesema inabidi wanasanitize poa nikaa wanaogopa Corona,mi husema hizo vitu nikiwa high ndo Manake mnasema nilirogwa. kingrar, muziqiller msee,hi ni gospel truth hii ngoma mcheze mkifika hoodz,hi ni mood ya jumapili ikifika weekend kwanzia jumamosi mi huteka tudem tuwili na natupiga miti mbilimbili,na kaa unadhani nadanganya nenda ukaicheze kwa kanisa ya pastor nganga akiwanyanganya sadaka, design ye huwekea shetani lawama unadhani washaipatana,na wale madem walisema stori zangu hawataki kusikia ata simu nikiwapigua wanaicheki tu ikilia,na kaa ulisema hatuko the same level,saez umeshuka bei nikaa ngazi yako ilikatika,na kaa ulisema tukuwe best friends forever stand poa hyo nut kazia,na kale kamblainer kangu ka utoto kwani kalipeleka wapi matako,na mamorio mwache kutumia mihadarati nadai kuanza kutumia solo

1 Comments

Leave a comment

You may also like