shonnymendes

mwanamke nayempenda sana

shonnymendes
mwanamke nayempenda sana

4 Plays

25 Jul 2020

Tunachati muda wote ila nabaki rafik Tunaspend sehemu zote ila moyon kwake sifiki Anasema ananiona Kama Kaka kimapenz sifiti Ni miongoni majibu nisiyotaka ila moyon na dhiki Nikikaa naye moyon nawaza familia nawaza mpaka watoto Ila sijui anachowaza sawa rafik ila shemej simfaham hata kwa photo Ni moja ya kitu kinachonifairiji kinanipa mwangaza Nikimtazama namuona Ni mwanamke wa ndoto ndoto ya mother Ambae naweza mfikisha China Safari ya mwanza Maanaa Kila napolala moyon namuwaza Moyo wenye subira na akili ya mbali Namuona mwanamke anayefit Safari Mwanamke ambae anayeweza Nipa fahari Ntayejivunia sehem mbali mbali Haiba ya upole Kila mwanaume angemtaman Heshima ya kilokole na unyekevu wa thaman Ila ndo hvo silolole moyon mwangu ana makazi Uzuri wa sura kumkwepa sidhan Nataman ningemuazima moyo hat siku moja Huenda angebdili mtazamo angenipenda bila hoja Angenipenda Sana hasingejikongoja Nahis angenipenda Mpaka kisona Nikimtazma namwona jiko la Moto kwenye barid Nikimtazma Sana naona upendo uliozidi Namwona mwanamke wa milele sio wa starehe Namwona mwanamke ambaye angenikuta navo balehe Namwona mwanamke naona sherehe Naukabidhi moyo Kila tarehe Yeye ndo usingizi napolala Ye ndo simulizi kichwan kwangu kila.mara Ye ndo mwamuz Kwangu Kila idara Mi ndo mlinz na malaika wake Niko imara Upendo uliozidi sijapunguza Namuwaza mpaka nikipika chai naunguza Mwembamba kiasi macho yananijuza Hakuna nachojali hisia zinanijuza Nikilala namwota mwanamke wa ndoto ya mama Namwota mwanamke ambaye moyo wangu hauna lawama Namwota mwanamke hata akikaa ntasimama Namwota mwanamke mwenye upendo wa mama Mwanamke aliyefika moyoni nikamfungulia mlango mithili ya mlinzi Mwanamke anayenijia ndoton mwenye ndoto na Mimi Mwanamke wa watoto wangu watoto wa yeye na Mimi Namwona mwanamke mwenye kila. Tabia na Kariba ya Mimi Ambaye atanipenda milele ataishi na Mimi Mwanamke hataangalia mbele nikiwa nyuma atabaki na Mimi Atayenipenda atakubali mapungufu ya Mimi Namwona mwanamke ambaye moyo wangu umekubali bila lakin

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like