kaka

9 Plays

25 Jul 2020

Mimi ndo Kaka mkubwa kwenye familia ya watoto kumi Kaka mkubwa nayependa kutazama 30 ya kirumi Kaka ntayejivunia kuwa na mademu kumi Kaka ambaye mdogo wangu wa kidato kwangu haijui hata sumni Nina miaka mingii 30 c haba Ila Sina mke ila napenda kulenga shaba Na watoto weng ambao hawamjui baba Juz kwa mtendaji wa kijiji niliongezewa wengne Saba Wiki iliyopita kwenye kikao Cha familia Nilishindwa hata kukiongoza mdogo wangu wa mwisho alilia Kiukwel nilicheka hata kabla hakijaisha nikakimbia M ndo Kaka na Hilo najivunia Kaka ambaye naipa familia huzuni Kaka mkubwa ila mdogo kiuchumi Kaka ambaye mdogo wangu anasema Bora katuni Anasema et Kaka labda kikanuni Naagaliwa Kama mbuyu mkubwa ila kiukwel Ni mchicha Mfukoni nakosa hata vumba ila sikosi hela ya kupiga picha Kiukwel Sina Cha kujivuina maana hata ukaka umekwisha Ahaa ila.ukiniona Ni bonge la.msela kumbe dada zangu wananiona pusha Ukinikuta club na watoto sio wadogo watoto wazuri Kaka ambaye kwenye jamii Sina zuri Kaka wa wadogo tisa ambao wananichukia Kama kaburi Kila nikifika nyumban Mali za thaman wanaweka vizul Mi ndo Kaka msanii ila kwenye jamii so kioo Kaka ambaye wadogo zangu wakiniona wanachukia neno broh Kaka ambaye nikipita wananing'onga Kama choo Kaka flan msela ila hata majiran wameomba poo Kaka ambaye na kaa nyumba ya urithi wa mama Kaka naye kula Kodi pekee yangu ila siogopi lawama Mi ndo Kaka mkubwa ila kiukwel Sina maana Kaka nayejivunia Kila uchafu wa jana Mi ndo Kaka masikini naye rool na madinga Kaka nisiyependwa Kijijin maana Hadi binamu nimewapa mimba Nikiwa mjini utadhan nafanyia ubaloz maana Kila kona navimba Kaka mcheshi ila ila kitambia nimewashinda Sio Ricardo Kaka mi Ni Kaka wa manzese Kaka nayependwa na walevi ila ndugu zangu wananiona.mngese Kaka pori Kaka nisiyejua hata mdogo wangu anaishi kitese Maana nilijua kwa mashikaji tu kuwa ameolewa na bese Pesa kwangu haina thaman ikikutana na bangi Mi ndo Kaka mkubwa ila.kama.nakunywa maji na jagi Kaka nisiyejua hata majukumu ya bill ya maji Kaka nayejivunia na wadogo weng wa kike et wakiolewa ntapata mtaji

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like