Chu SanTz
Chu SanTz

chekecha

chekecha

124 Plays

11 Jul 2020

Yusto#Chekecha Chekecha kama unapesa, Chekecha kama unatesa, Chekecha kama unaweza, Yustor king anajiwez, kumpoteza hamto weza, Kwenye game ye ndo fadha, mfukoni kajaza fedha, ukimjalibu anakupoteza, kila mchezo kashaucheza, kwenye kiti kwenye meza, mistari imependeza, utajili Mali, sio fedha , ni rahis kuzipotez, ye ye, chekecha, chekecha, chekecha chekecha, chekecha, chekecha chekecha kama unajua, kwenye biti uwezi zingua, kama mboga tafut kibua, dem wako anazibua, kaja getho haja zingua, mi huduma nazingatia, kwenye mic nakamatia, kama mapene nakumbatia, kwenye bata full wese, Iligoma lazima unese nese, niggar tutese tese, Hatunywi manzese zese, Jaza kiwese wese, Tupite kwa mese mese, ye ye Chekecha, chekecha, chekecha chekecha, chekecha, chekecha chekecha kam unazam, chekecha kam unaham, nguruwe kwetu aram, mziki peni kalam, kichefu chefu kula ndim, chips getho ni adim, adim adim adim adim.... Yeah. black style & black Flow , nipo kwenye stage store , z all about ma Good Flow, Every body speak about my Projects , heater bado wanna hate, chekecha kama unaweza Nigga, Bado tunasonga kwenye hard Stome, (Maisha yangu na level kama Leonardo Davinchi, nikisha settle Sio Rahisi Kuni Convic,) I believe in a Units kama mwanza Na JPM, Rap King,

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like