Sammy opiyo

rada radua

Sammy opiyo
rada radua

33 Plays

17 Jun 2020

rada radua kishada lipua kwa jah tuma kadua ukipewa rarua. rada radua usijifanye kujua usiwezi ukalamba mapua fanya acha kujifanya d kwa p najua nabamba wathii natamba dadii. wakitega tegua wakifua chafua. magode magode. kwanza zinyanye ki odi magode magode ziwake kwa rodi moods achia Awuori. vako zangu buda ngori. unahate man am sorry wakipanga pangua2 sugua sugua akirombosha sugua nyanya nyanyua. tafuna kimiwa awike kijiwa Rasta born gangasta akili nywele fuga dredi sumbua sumbua tesa kutesa kabaka natesa mafala wananyeta. wameanza kuteta na bado sina barretta mrazi nakazia mras naachie wakifumba fumbua nimekuja na vitu mature tafuna kamboga subiri mzoga 0http vako za kishoga zitakukoroga mahater bana nawajua watakuroga tulia form dandia, acha kuangalia2 chuma kwa jua. kwenye hustle tulia za kushoto kulia, unaeza kimbia napenda ngwai sijidai ndo maana mimi niko high sir most high ndo maana mimi siko sigh. why lie till I die magode magode ziwake.

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like