Hope💓

37 Plays

14 Jun 2020

hope, hope x4... najipa tumaini,, siku moja kweny life nami nita win,, akina 2 pac waliweza why mimi,, roma kaweza ila naogopa kuwahi kaburini,, am going with my hope,, with my hope,, ndugu marafiki watabaki hopeless,, familia itabaki na stress,, mom atabaki ku complain,, ila sitorudi tena duniani,, through my actions,, actually nitakaa kule heaven,, huku watu wakilimbkiza madeni,, kwa mamy,, ety maiko nlikuwa namdai tangu zamani,, mom anakaa juu ya kaburi la mimi,, nakusema my son,, umeondoka umeniacha na nani,, kwangu ndo ulibaki kama tumaini,, hata kama hukuwa na pesa maskini,, your daddy kalala kaburini,, your brother kalala kaburini,, your sister kalala kaburini,, sasa nimebaki mimi kama mimi,, why mimi,, why mimi,, sikung'azi kwenye mboni,, my son,, nime miss ule utani,, nami nitatamani kumnyamazisha,, lakini itakuwa haiwezekani,,

1 Comments

Leave a comment

You may also like