Maiko EmMa NKinda
Maiko EmMa NKinda

mtatawanyika? ( u will leave)

mtatawanyika? ( u will leave)

19 Plays

09 Jun 2020

huh!! marafiki kwa mwendo huu tutafika,,/ au nikianguka mtatawanyika,,/ nikibaki tu kulalamika,,/ mtatawanyika,,/ maana mna act kuni care,, nikipatwa shida mnapotea,, pesa nawapea,, shida zenu mnaenda tatuwa,, sorry sina kifuwa,, siri nimezitowa,, mnanichora chora bila pencil,, sakeni pesa mtese kesho,, msibebe chuki zinawapa tu mateso,, mie solar nalikabili juwa nile kwa jasho,, thats why niko na changu nawe uko nacho,, usitamani changu nawe kuza chako,, tamaa tamaa Mungu atakupiga mboko,, coz sisi kwake bado niwatoto,, piga misoto,, kivuli kikupeti peti,, patisha kichwa moto,, kufikiri ukipata uta rest rest,, friends tutafika

1 Comments

Leave a comment

You may also like