mr____aspectzero

kïzäh___áspéct

mr____aspectzero
kïzäh___áspéct

10 Plays

27 May 2020

yeah ahh havoc ahh IMÁÑ ___KÏZÅH Kama salesman biashara nakafunga Rong rende lakini si ya scar na mad munga Mbogi yetu aisamehei kwahivo chunga Lyf naishi ni hard menu sima na mchunga Nikipika lunch mlango hua nimeifunga Juu wengine tym ikifika wamedunda Niko na ki g bag ndani ya bukta Ata masnitchi wanipeane mi bado nitaruka Flow ni moto kama rays za sun Naishi kwa neema juu mi sinanga plan Hunishindi Abadan katan Unajichocha na freestyle na unashinda ukiwa umeicram Don't rush hi si matter heart run 72 seconds and yeah am done Nampa vitu mpaka anadai I want some Naflow tu vipoa mpaka nashikwa na heart burn Nilianza onja onja ngwai, ckuizi imegeuka asali Nikimedi mi hujiona Nina apartment uko nyali Niligaagaa na upwa sasa nala kuku wali Nimeota nikinyongwa,nimebaki nikishuku if all dreams are valid Naskia joho alipata D_ serani Lakini juu ya hio ckuizi ana Ferrari Minding my business kama premier cup na arsenali Skuizi mi ni boller naeza afford lunch panari Naskia nasakwa juu nilipea ball wangari Outing zetu hukuanga crips achari Pea ycee mass booster na a train century Awezi nigusa atanilewe chakari Ji ji ji ji (aspect) Rong rende

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like