Zungu254
Zungu254

Chuma.

Chuma.

35 Plays

11 May 2020

Chuma bas hiyo haga we Tingisha,chupa ngapi unakunywa wee itisha,ningependa kukufinya zikiisha,ninapenda vile unavyo itngisha,me mkali wao toka Kenya bila Vita,hapa ni Ulaya sema kweli ntachachisha, Napenda vile hiyo Rangi yako imeshika,Unaskia kiswahili ama Mistari inatisha,Kule kwetu Rangi zao zote fake,ila yako naelewa mzunye,Chuma Yangu pia nayo inatisha,kitandani anytime wee itisha,ninataka tulimane usiku kutwa,mchana pia ikifika iwe Kucha,Nataka kuquarantine na wewe,Kisha baadaye tutembee Hadi Kenya,Kule kwetu Meru Kisha si tutapenya,Ukifika nyumbani kwetu mi ni star,wanaotambulika Mimi tu na scar,Bila Shaka ukifika nawe utakuwa star,Rangi yako shiny inawaka Kama Stars,Mrembo umeweza Moon na stars,Wee ni Eagel ninapenda hizo makucha,Wee ni Ego ninapenda ukinuna,wee ni meno ninapenda ukitafuna,Siezi kuimagine vile unakulwa,Chuma bas hiyo haga wee tingisha,chupa ngapi unakunywa wee itisha, ningependa kukufinya zikiisha, ninapenda vile unavyoitingisha, ningependa kukukuna zikishika,bila shaka wewe zidi kuitisha,chupa ngapi hivi Sasa zimesisha,Hela mingi Kama bank ya Melisa,Pesa ninayo hiyo siyo Siri,hakuna sehemu ya Siri,Mafisi ni wengi sio Mimi,wakicheza juu nazidi cheza chini,Ukiangali ndani kwa makini,hakuna tajiri hakuna maskini,Kama Tazani Joh Makini,alichanganya magufuli,huko kwetu Kenya pia Mimi,nawachanganya Kama nyinyi,Chuma bas hiyo haga wee tingisha,chupa ngapi unakunywa wee itisha, ningependa kukufinya zikiisha, ninapenda vile unavyo itngisha,pesa mingi Kama bank ya melisa

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like