ni utani

15 Plays

10 May 2020

weuweeeee ama kasheshe leooo aka kabeat kana kiki kanafaa vina vya kusnitch oya steve ivi unajua rama a.k.a rk juniour anampenda catherinu munuo yule dada mwembamba mweupe hivi mjanja basi pale rama kabwanda nganganga hana pa kwenda dem kamganda la kuvuna ya kapanda anadai et ndo no moja yake namba ama kweli ya snura majanga rk bana ila usimind nakuzushia asee steve hii sasa kwa pawa pawa mwanasiasa mtu kazi kiongozi haswa ila ana vituko kama mbasa pawa mwanetu ila kwenye kupenda sasa anataka mke chuo dah uku tuna madem broo uku sio usukumani hapa mjini inakuaje unatongoza wanawake tisini kwani wewe king mswati nini? pawa mapenzi si kama siasa ukiomba kura kwa wanchn sio sawa na kutongoza nakupa darasa ok pawa ni utani nakuzushia asee sasa ni zamu ya kishi kwambiii mwanangu kishii mmmmh mbona uko ndichi mmmh moro mambo swafi ama vipi njoo bana rama ana kusnitch anasema unauza maji ya kandoro mjini kati eti kweli maana mi navyojua uko kwenu forest basi fresh ila nakutania sio kesi

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like