charles leopold

wanaume kama

charles leopold
wanaume kama

27 Plays

09 May 2020

ye I'm killin I'm killin im killin thse bitch niggas wanaume Kama mabinti wanaume Kama ma shangingi Et Leo Siri ugali nataka chipsi mom I would like to change the mill dah na bado Unakaa kwenu huna akili 18 to 45 age unatakiwa kuwa hard namaanisha mtafutaji kesho ukija kuitwa dad uwe na msingi ktk ku guard lkn we ndo kwanza unadeka unajiregeza kwa bi mdashi kama mrenda hutaki kula kwa jasho umerendenda unasubiri waleteee ule kijana kweli chenga njoo utuone wanachemba tunalima tuna chomelea yani kazi mpaka hoi hoi na bado tuna majukumu hatu poi poi acha kuwa goi goi umekuwa mwari au kigori mbona hufungi goal usisubiri basi ushinde kama sholi

2 Comments

Leave a comment

🔥🔥🔥🔥 bro please vote for my battle 👇 #IGOHARDER

4 years ago

ye I'm killin I'm killin im killin thse bitch niggas wanaume Kama mabinti wanaume Kama ma shangingi Et Leo Siri ugali nataka chipsi mom I would like to change the mill dah na bado Unakaa kwenu huna akili 18 to 45 age unatakiwa kuwa hard namaanisha mtafutaji kesho ukija kuitwa dad uwe na msingi ktk ku guard lkn we ndo kwanza unadeka unajiregeza kwa bi mdashi kama mrenda hutaki kula kwa jasho umerendenda unasubiri waleteee ule kijana kweli chenga njoo utuone wanachemba tunalima tuna chomelea yani kazi mpaka hoi hoi na bado tuna majukumu hatu poi poi acha kuwa goi goi umekuwa mwari au kigori mbona hufungi goal usisubiri basi ushinde kama sholi

You may also like