Parlito Tz
Parlito Tz

Jesus is King

Jesus is King

12 Plays

24 Apr 2020

i dont trust a man but a trust a jesus his only one amenifanyia mujiza he take me from far way long way kwenye falme za giza japo kuna majaribu chuki hasira ndio vinaniwinda God save me God show me all the right thing nipe yako amani only one for me bwana usije niacha mbali niache vyote bwana kwako ndio shwari mambo ya dunia kwangu hayana thamani nitavumilia nizidishe yako imani ona wanasema eti kwako nimepotea nitavumilia mimi kwako nawaombea God almighty ooh baba we muweza nipe nguvu zako bwana nisije mi teleza wewe unaejua Yesu kunibembeleza sina shida kwenye tabu naonekana napendeza kwenye akili yangu sina ujinga wakuwaza shetani ulinitesa tena uwezi nipumbaza minawaza heaven ni stay paradise ona uongo mwingi najiona misifai ila neno linafanya niwe hai najiona sometime minaweza fly bado hakuja kucha kumepambazuka kila nikishtuka naona tu mizuka wala sitaogopa wala sijachoka najua neno lako Yesu baba unanivusha najua nguvu zako Yesu baba zinanilinda mfalme wangu bwana wangu kwako ninavimba unanipa uzima msalaba unanilinda sinakitu mfukoni mtaani minavimba una nilisha vya rohoni Yesu unanipenda na unanipa vya mwilini Yesu ujanitenga bwana wangu mfalme wang mfariji wa thaman neno lako bwana ndio lina nipa imani we ulietupa uzima pale msalabani wwe ulie juu ulie kuja duniani neno lako tuu linazidisha imani

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like