Dream_Boy
Dream_Boy

Change

Change

33 Plays

22 Apr 2020

ulianza dharau ndani ni matusi eti umepanda dau unaniona hanisi ugomvi unajibu matusi ya aibu nimejifanya bubu kuondoa hili gubu unaniaibisha hasa unavyolopoka nikienda kazin ndani unachoropoka upo kinyumenyume na kiapo chako nimekuwa munyemunye na sio mume wako tunaishi kama lovers akati hii ni ndoa speed more drivers ati unajipodoa umri unasepa we unaleta ujana utabaki screpa vijana wanakuchana ukichange itakua poa ukichange ntafrahi sana ukichange itakua poa ukichange ntafrahi sana

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like