02gKelvin

#nipee sahii😂

02gKelvin
#nipee sahii😂

118 Plays

11 Apr 2020

wakileta beef me uchapa wakileta ikus me utaka wakiteta mi nshawaka ..si mi hutaka..taka.. get u back me ni hacker. i get u start me ni starter.. light it up mi jua ntaipiga leo utanijua let'em ask mi ni nani waambie ni nyani jangwani sitambuigari ni gani mi huendesha adi ifike ndani shiro na caro gari ndogo naitwa kevo me si mtoto so si me hutaka.. bitch ukinipa jua utawaka... kam upatane na mbogi deno na Johnny kevo na tony keja ya bony am sure uyu ngeus atanipa na akinipa aki ataitika.. si leo atapatana na hard niccur si ingii na socks nshvaa sneaker chokora mapipa hapana tambua uchafu nachambua ka pro..buda nilikua maubau

4 Comments

Leave a comment

👍🔥💯🔥👍🤜🤛

4 years ago

woow

4 years ago

lyricist..I like the bars..nice Swahili

You may also like