Dream_Boy
Dream_Boy

My Page

My Page

65 Plays

03 Apr 2020

yeeah aaah x2 cheki page soma neno jifunze kisomo sheria ni msumeno chunga yako maneno jifunze kuwa mpole acha kihelehele zuia makelele isikize kengele hiki kipengele furaha vigelegele na bado kusonga mbele picha ya mpiga picha aliyejificha nyuma ya mpiga picha na kisha akapiga picha yule mpiga picha punguza sitory nao epuka matendo yao jali mazuri yao acha uzembe wao pendeza kukikucha usisimamie kucha siri zako ficha ujinga wao acha soma page soma kurasa soma page soma kurasa huu ukurasa unafundisha mambo mengi hasa ya kimaisha na kuthamini shilingi pendeza upendezavyo usimsahau mungu wako iga uigavyo ila ila usivunje mila zako heshim wakubwa zako mwombe mungu wako tunza akiba jifunze kuwekeza kuwa mstaarabu usiwe nyanya pweza wapende ndugu zako marafiki zako waheshimu wakubwa zako wajali wadogo zako saidia yatima pamoja na wajane tenda wema na mungu sadaka aione

2 Comments

Leave a comment

nice💪😤💪😤💪 perp my new fam

4 years ago

You may also like