Dream_Boy
Dream_Boy

Another chance

Another chance

65 Plays

01 Apr 2020

natizama kioo naona sura yako nataman nikuite ila nakumbuka ni taswira yako nimekua mpweke mpaka naisi nimezikwa nateseka kimahaba mpka nahis nimetekwa sina furaha , nimekosa raha sonona imenitawala naona ni karaha sitembei nashinda nimelala vita ya mapenzi nimeshindwa kabisa daaaah tuzo ya upendo so siri nakupa wewe wengine wanapenda skendo tofauti na wewe najuta kukuhasi kuipoteza nafasi nimechezea chansi naishi kwa wasiwasi machozi machoni mawazo moyoni maneno majirani nduguzo mitaani misemo midomoni karaha chumbani shida mezani na njaa tumboni nashindwa kula sababu ya mawazo na mimi ndio chanzo mpaka uniwekee vikwazo nisamehe basi sitarudia basi nipe tena nafasi naaapa sikwachii

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like