ozil

Diy

ozil
Diy

44 Plays

30 Mar 2020

maisha yamesafiri bnaaaa daaa tupo mbalii kinyamaa safari i ni ya zamani sana toka enzi zile za mi na wana wkt wa bakora na laana wkt uo mda tuliopoteza sana maisha yamesafiri bnaaaaa daaa tupo mbalii sanaaaaa×2 mburahati prmary npakumbka bila iyana la kwanza up to la saba bila lawama ticha sidee na bushiri wametugonga xana ubishi na ujeuri ndo tulipokuwa tunakwama maisha yamesafiri bnaaaa hakikaa tupo mbalii sanaaa×2 daa maisha yameenda kinoma nawakumbuka wana wengi kinyama mwanangu eugen ilkua rahaa saana life lisilokua n stress mna ugali kwa mama maisha yamesafiri bnaaaa hakika tuko mbali sanaaa X2 2013 mwaka wa kwanza kambangwa ulikua rahisi mna ckujua kufeli kimbwa ata ule wa pili ahukua mgumu saanaa maisha ya amani na wanangu sanaa maisha yamesafiri bnaaa daaa maisha ymeenda mbli sanaa×2 form three ndo akili nlipoanza kugomaa frst day chemia ilipagwisha sanaa maana nilipotea kama ajibu simbaa ilopofkia mwaka wa mwsho nliona i ni aibu sasa maana nlijua tokeo litakua byaa kinoma 17 yakatoka bwana yakawa mabya tu sanaa ckuktaa tamaa mwana man i know maisha kupambna sasaa maisha ymeenda mbali kinoma ata ndevu znatuandamna bnaa Maisha yamesafiri sanaaaa namisi sanaa izo cku za nyumaa

2 Comments

Leave a comment

1 year ago

LIT 🔥

4 years ago

You may also like