Parlito Tz

am not alone

Parlito Tz
am not alone

14 Plays

25 Mar 2020

nina macho ila mbele bado sioni nina masikio ila bado bwana sisikii unanipa uzima ila bado bwana sikuamini naomba rehema zile dhambi bado sijutii wangu wa rehema weni bwana mwenye nguvu egemeo la milele umeondoa yote magugu mwana mfalme weni mfalme Yesu bwana wangu umebadili historia yote ya maisha yangu yea ujaniacha bwana uko upande wangu marafiki hawamana wanakimbia hardtime life ikicharge wanapotea we unanipa nidham now am back on the flow jesus Christ love wewe tuu am not alone bado upo nami bado upo nami yesuuuu umenipa love umenipa time uwepo wako una jaa ndan ya moyo nina furaha yea sina muda sina time na mabaya nilofanya yote sina hamu siwaz shida siwaz ubaya siwazi ujinga mii nina amani ni raha nina upendo mii toka niwe kwako nipo kwako wala sijutii nipe nguvu zako rehema zako usiniache mii mimi mwana wako rafiki yako we ni wangu mii umenitoa mbali pale kalvari we shujaa mwenye nguv wewe ndie jemedalii unaondoa yote maovu damu yako ya thamanii unanipa raha unanifanya nijikubali tembea nami bwana izidishe yako imanii hakuna kama wwe bwana wangu wa thamanii

1 Comments

Leave a comment

5 years ago

You may also like