ogato

23 Plays

03 Mar 2020

ogato ogato ogato wacha mudomo ogato ogato ogato wacha umama aluta tunachana chana wa roro nikuwapandia round ni yetu hakuna kutambua ma ngeus ni wetu hakuna kuwaweka kilakitu ni freshi ma moshi tunawaka aluta nikuchana ma works hadi moro madem nikupanda kupanga kumanga kuweka kesi badae ma boys hatuna hatuna haki bada mageus tu nikupigwanga tu namamali sisi tunaachwa tukipigwa na upepo mavumbi tunanuka hatuna janta sasa kitu imebaki tu nikuomoka kazi ni kazi eti boranga tu inajenga life hakuna kuchimba ndiyo rada pengine twende tupigange tu randa

1 Comments

Leave a comment

5 years ago

You may also like