Eliud Kiburio

never let you go

Eliud Kiburio
never let you go

8 Plays

22 Jan 2020

Handsome boy, again i will never let you go, i will always let you stay, cause i love you baby gal. i will never let you go, kwani mm nakupenda Babie Bele9 Kasema sumu la penzi ushairaba hata ukinyuwa maziwa huwezi kapona Nami nasema mapenzi hata ukipigwa konde huwezi katapika. i will never let you go, i will always let you stay Cause i love you baby gal. Babie nakukunda wee wangu.......... Babe usikubali usikubali kuwasikiza Hao, Nasema Hao na Manisha kidundu mtu.. Kwani mm mwenzako nakupenda Sana Ukiniacha utaniumiza, Wahenga hawakukosea wakisema mtaka cha mvunguni Shati ainame. Roho yangu ishainama baada ya kusaka mrembo ww, i will never let you go, i will always let you stay cause i love you baby gal. Okay wasera na washikaji wangu rudi tunawakilisha hadi Congo, Nishapata batoto bakongo...... Ww ndiye wangu mama nitakurida hadi siku za mwisho.

1 Comments

Leave a comment

5 years ago

You may also like