James Gabez Vijay
James Gabez Vijay

Makeki na Mathwiti

Makeki na Mathwiti

285 Plays

15 Jan 2020

James Gabez The Real Boy You Know, Who Keep It Real Na Makeki Na Mathwiti nikisi nikisi na maweng wacha matete kaki wine usilete matata kajipa kemba pakata kimadizi ama papaya zikishuka leta kidete pingwa rungu ama mateke zimeshika hizo mabichwa zimenyanya sema maweeda shilingi maua na bado yaua karembo katoto hamissa mobeto Kama ubaya shindwe loketo funga mlango Kufuli na koto akija shetani mchome na ndeto nakama mgodi mkate na panga Kama kachura kapinge na kuni cheki kanusu kakate na maji tie ngaliko Namakeki na makeki na makeki nyongwa na koo na makeki na makeki na mathwiti×2 nikisi nikisi vitu tamu soda na keki si kiruru ama mafengi chuma ngumu kama sururu kata toa kama suruali kitu tamu kama sukari kana jipa mpaka silali chunga sana kukula halali Sema far lakini c ruai nikachura kake kameiva kuripe kama malenge kiembe kiembe kichungwa kikondo kipera kasupu kidinzi na bado kipusa kanalia yorghut na mimi ndiye ngati nataka nibuy gari bugatti nisare ma mat nibuy mabati nijenge kabout @james.g.Vijay

5 Comments

Leave a comment

2 years ago

Bars: Great 🎉 Delivery: Great 🎉 Impression: Dope 🔥

3 years ago

Perfect 👍 Bars: 10/10 Delivery: 10/10 Impression: 10/10 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

Here are my scores: Bars: 8/10 Delivery: 9/10 Impression: 9/10 Bars: Great 🎉 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

You may also like