penzi

78 Plays

02 Jan 2020

it's a mazing how am feeling deep inside, umenivutia machoni ukaniingia moyoni,you're the Queen of ma heart siskii wala sioni kwa wengine sipatikani,umeniweza ile kinoma noma ,nisipo skia sauti yako naskia kama Niko na homa,usiku kucha me hukuwaza maa sijui kama nitakuona ,tena sijui kama nitapona,Niko na huu ugonjwa Wa mapenzi na Nina Imani wee ndo tiba,njoo niondolee hizi shida ,kwa furaha ama kwa msiba nitakupenda nitakutunza nitakulinda nitakufunza,forever My lover penzi lako nikama ulevi najihisi siko sober,sitaki ngoja nataka kuonja ushanisoma?we ndo full stop na koma,Alhamudhulilah kwa wengine nishakoma ,baby nachotaka unihold tu tight touch me kiss me baby u make me feel alright ,kwenye Giza we ndo light everyday and night sikutaki outa my sight, umeniweza maamaa and that's alright it's u i want ,nakupenda More than kunguni apendavyo kitanda ,usiogope kuniganda baby mgongo nitakukanda,nitakivisha Pete usikonde hicho chanda,usiniogope nipe penzi ukitaka kaa uchi baby funga kanga ,kwa mapenzi me ndo mganga

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like