freestyle

16 Plays

10 Dec 2019

cnaga verse(15) nataka bunch ya beleviers kwenye mziki niko kama naigiza ha2washi tochi ndani giza nikirap corus napitiliza hotelini nakula 2 piza nikutoe lunch au dina masnicth mnanipn'gaa niko 2 hi ninapaaaa ning'aaaa kwenye giza ndo nawasha taa nawashngaza hawa mamaza maana mm ndio faza nyie vilaza mnaniwaza mistari ndo naikaza mahaters nawagaragaza bosss nkiwa naongea nyamaza mi yusufu co nabii mtukufu home csi wnakunywa madafu nikirap mnaganda kama barafu mi magu mi ndo babu check navyotembeza adhabu kwa wale waco na adabu wenye swali nawapa jawabu kaa dogo piga kitabu nilikuja hapa toka kitambo msituni 2nawasaka kama migambo iam the cammando ucku mnakula 2 viporo csi 2nasaka doo nyie mmlala doro ctak nyingi mboyoyo mam yeyooo mnakula 2 ukoko nyie kwang ni wadgo ntawachapa mboko

1 Comments

Leave a comment

5 years ago

You may also like