Smuthstar
Smuthstar

concious

concious

42 Plays

08 Dec 2019

binadamu sio binadamu tena wameshakua wanyama, polisi pia wafisadi ndo mana Hakuna usalama, tajiri hamtendei maskini wema, daktari anaiba madawa wagonjwa hawaezi kupona,maskini anateseka kila Siku, asiye kua na hatia anafungwa pingu, jambazi anatembea huru, tumefungwa kisaikologia hatuko huru, Hakuna amani mandera wajir garisa mpaka samburu, kina mama wanalia nivipi watoto wao wamepotea kwa ujambazi wizi imekua ni kazi, staree imekua ulevi, huskii sipati picha stress kibao kichwani mazee ndo maana hunikosi na liquor, wanaume pia koinange wanajianika, huu uovu mchafu Sana mazee unanuka, chakula ni ghali kwa duka, watoto bangi wanavuta, mitaani imekua vita Shida kila kona, vijana wanaenda jela insted ya kwenda shule kusoma, wasiopanda wanataka kuvuna isthafuralaa menyezi mungu tuone huruma

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like