Smuthstar
Smuthstar

Mandera stand up

Mandera stand up

27 Plays

07 Dec 2019

niwakati umewadia kupigania haki zetu nakujivunia, tumechoka na mauaji kila siku tunalia, ufisadi ukabila nahisi vinachangikia,damu ya mwananchi inamwagika,asiekua na hatia,unapata faida gani unapomwuua bidamu mwenzako,?nambie utafeel Ajee kama ni dadayako babako mamako kakako ama Rafiki yako ameuliwa maze bila sababu, utapata nini afta mauaji, siwote binadamu huwezi ukawa judge, maze nahisi huu ukatili umekithiri mno, say no to anything chenye hakipendezi machoni mwa Mungu ,wacheni chuki roho mbaya na tabia za kimalaya, Hakuna mtu special zaidi ya mwingine sasa utaanzee kutamani kuutoa uhai wa mwengine, maze ukidhani uko huru mazee ni Wongo vituko machafuko hufanyika Mandera maze sio mchezo, wengi wametoka makwao kuja mandera kutafuta ,Nyuma wameacha familia zao sa mbona uje tuu ukatishee Maisha yao, kama hamtaki watu WA down Kenya Mandera semeni maze kuliko kumwaga damu zao, uchungu na vilio vya famila zao zinaleta laana na wala sio mazao, utabebaje bunduki kuja kuwinda binadamu Kama wewe? serikali hebu simameni ulinzi leteni tuwaone, msifanye tuwatukane mazee mauaji Mandera yanafaa kufika kikomo

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like