DELE

12 Plays

25 Nov 2019

kech kech hi ni system ya ukora tunawabebeanga bokora hi ni rungu ya kuua nyoka matenje kiatu nakutoka black market mi ndio broker mbele tunasonga vyabes ni Kali zimeshika, kwa mat za ronga Uliza benny boy ye ndio hunipeanga joy akiskiza ngoma zangu voi rapper** we jaza mbaka ijaze boza vua toja ubaki na trouser mi ndio Annaconder gost rider, striker nakuchoma utashikwa ko ndio ujue naroga ukinikopesha do matym zinasonga iwe bafu Choo zote naoga kupiga show ndio nangoja nangoja kuchana jaba hi pengine muite Nakada ndio initoe kwa tu kwa ganja nowander sikuizi naitwa rasta esto yetu tumetulia hatuna say but leta fujo uone geng kujifanya umezuba utadelay wanasema sikuizi nikona base but sauti z meddy tuliachia madem hata ufanye nni hatuwezi kua the same ehh*** ebu ka ritho uwe on tose, hapa nikichinjio unaitaji job, na huna kitambulisho we ni nani umetoka wapi Mbona nakushuku we ni jambazi una ukali unastay wapi Mbona ukona sura ya utiaji slowly ** mi natii marapa OG n octo , wakali sana nina hamu y kuwasaka alafu collabo, ianguke Moto bana iwe y kuwachanganya tuwabebe ndogo mafala rapper ** we ni mtoto, ulizaliwa Jana una wongo, wa kunidanganya tumia ubongo, wacha ujanja kazi yko nikidogo we ni ka kuku na njogo nakushika nakuchinja koo nipe plisner instead ya legend nikitei najiona legend naenda kuchokoza JJ vurugu kakishika c kaende kazi kaende kaende** kech kech aniemaliet kech kech utakosa say niwakanyage n njumu mbka maparo waone uwivu niwachome niwageuze jivu niwabonde niwageuze tissue yeah, DELE again niko hapa kuwapea pain yeah, DELE again niko hapa kuwapea game yeah, DELE again DELE again DELE again yeah,DELE again DELE again DELE again collabo ni Kali nikiwa na tosh Warembo mtaani wanapiga salute kesi sijali nikiwa na goon big up to Ali kwa kunibeba juu baada y kutoa silipi, tuliamua kuangusha kech kech kwa kuwa mi siringi, niliona jo thurwa ma to ber rapper ** tuka irealise mtaa y, kibich iwafikie wale ,mabinti tuwasho c, hatubaguwi c hatutambui ngoso hatujui siaya tu kitui song n ya ugenya, kwa kuwa hamjui c tunawapenda, mkiwa n chuki yeah, c tunawapenda mkiwa n chuki mahaters mnafa kupigwa binduki kwa jela tukipelekwa c hatushtuki kesi badaye ifikie askari karioki hata ufanye nni, hi hapa isiondoki hata ufanye nni, Hapa sitoki na ukileta noma utatoka nduki kech kech chorus *** stanza ** tosho :hi ni Kali bana DELE :usijali itafikia mama tosho :na akiwa mkali sasa DELE :sijali bora ifike mtaa. saizi mi ni jua nanga. na waliosema siwezi wanapigwa na butwa but nawashow straight and forward we r nonstop non stop non stop if u r ready ebu jaribu kuleta jam mchezo sipendi hi ni Hip Hop ukiongezea trap Mi nasty seti nikona mbogi yangu ya kina bran Il pray for the society to change bfo jesus comes wacha tosh achukulie bcz am tired now my producer I think am almost done Dele I can see you r tired now tired now but thank u for ur gud jab I think ushamwambia ya kutosha man wacha mi pia niwaingilie kiac vile sauti soul wamekaliwa chapati but this tym round mi nitawakalia viazi kech kech ma to kech hi ni Kali mi sijali rusha mistari MA to ber MA to kech kech kech kech kech kech kech... chores **

1 Comments

Leave a comment

5 years ago

You may also like