Murderer

26 Plays

24 Oct 2019

Nimewapoteza rada rada rada, Hawamasela nawa murder murder, They don't know am a murderer x2 Nimechana mbuga 8 miles away/ Wamenitafuta hawanipati eeeh/ Niko kwa msitu katikati/ Nme take cover hawanioni/ Ujanja yao ni nyani/ Me ndo babayao wana salute/ Ukija vibaya utarudi maiti/ Blah blah zao hazinitishi/ Me ni mubishi/ Uliza kitaani penye naishi/ Siezi kuchekesha ka Bwakira/ Ka Hitler me ni killer/ I spit venom more than cobra/ Usikubali nikutolee hizi hasira/ Nko imara ka Che Gueverra/ Hakuna haraka ni mperampera/ Ila nauhakika kipaza mtanipea/ Najiamini me ni don't care/ Siogopi mtu me less I care/ Ata nikiwa rife siezi kuplayiaya Fair/

3 Comments

Leave a comment

Santi sana Ian,uko Rada za wapi?

moja kali

Nimewapoteza rada rada rada, Hawamasela nawa murder murder, They don't know am a murderer x2 Nimechana mbuga 8 miles away/ Wamenitafuta hawanipati eeeh/ Niko kwa msitu katikati/ Nme take cover hawanioni/ Ujanja yao ni nyani/ Me ndo babayao wana salute/ Ukija vibaya utarudi maiti/ Blah blah zao hazinitishi/ Me ni mubishi/ Uliza kitaani penye naishi/ Siezi kuchekesha ka Bwakira/ Ka Hitler me ni killer/ I spit venom more than cobra/ Usikubali nikutolee hizi hasira/ Nko imara ka Che Gueverra/ Hakuna haraka ni mperampera/ Ila nauhakika kipaza mtanipea/ Najiamini me ni don't care/ Siogopi mtu me less I care/ Ata nikiwa rife siezi kuplayiaya Fair/

You may also like