Ninawezah

35 Plays

17 Sep 2019

ohoooo Nilijiambia Mimi, Sitokata tamaa Nitangangana hadi kiamaa Sabu ninaweza ninaweza Nonawezaaah. Nina amini uwezo ninao/ Kipaji ninacho niondoe wasiwasi kibao/ Ndio niweze pambana nao/ Niweze fika kwa level zao/ Nimeyavulia nguooo/ Wacha niyaoge mtoto wa kimwambao/ Sabu niko imara sijali blah blah blah zao/ Haoo nitakomaa naooo. Nilijiambia Mimi, Sitokata tamaa, Nitangangana hadi kiamaa Sabu ninaweza ninaweza Ninawezaaaah I just believe in what I dooo/ Siogopi kelele za watuuu/ I'll keep pressing on hadi watanikubali tuu/ Sabu ata mbuyu ulianza ka mchicha tu/ 1 plus 1 will always be 2/ Wacha niwapakulie mavitu/ Wapate skiza ata wenye bifu/ Me ni mvumilivu nangoja kuzikula mbivuu

1 Comments

Leave a comment

You may also like