Hauwezi

11 Plays

31 Aug 2019

Niite Picasso, Niggah nisopenda vikwazo, Yeeh Kipaji ninacho, Sir God kaniajalia nacho, Wee kodoa macho, Na ukae kitako, Unakesha macho, Kilalia bahati ya mwenzako, Hyo ni yako, Skiza venye nafunika hii beat ya commercial, Me ni hustla auwezi nizuia kuhustle, Me na struggle, We unakaza muscle, Hii ni demo, Subiri inakuja war, Eyo producer punguza tempo, Hii ngoma ni hip Hop sio kwaito Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi, Yeyeyeee Alilo lipanga Mola kulipangua huezi*2 Uchawi c lazma uniroge, Venye hautaki nifanikiwa na chochote, Lakini hautoshi nko na pumzi ka kipchoge, Nachana sana sabu Hip hop naiweza, Kifuata nyayo zangu mtunguyaz hautaweza, Utatoka ulimi kivuli ukikimbiza, Zitakuchoma nyaya, I say we utakwaya, Coz me ni moto fire, Sijatoka kwa magufuli, Ndio maana sina kiburi, But naeza act ka landlord nkundungie kifuli, Hii meli imengoa nanga shuka kama hauna nauli. Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi yeyeyeee Alilolipanga mola kulipangua hauwezii Hauezi ziba zangu baraka, Utazichelewesha But lazma zitafika, Imeniuma sana Ndio mana nayatapika, Chuki,kimacho,fitina Pia nakadhalika, Zote hazitoni fika, Sir God amenifunika, Dua yako ni yakuku haiezi fikia mwewe, Nimekujaza dukuduku pia na kiwewe, Unatabia za panya buku Unauma kivivia wewe.

1 Comments

Leave a comment

You may also like