Cypher 2

13 Plays

19 Aug 2019

Me ndo kamanda, Tayari nisha dunga magwanda, Ndio kuingia viwanja, Nani anabisha, Me sioni wakunitisha, Kwenye speaker napagawisha, Nawaacha vichwa mnatingisha, Nko kamili gado nafanya mambo, Hii beat naimumunya design ya patco, Me sijui kubana I say me ni hardcore, Kila uchao nakazana niggah am so simple, I keep prayin hiki kipaji kizidi kunawiri ohoo, Japo wengine wanabana ili me nisigrow, Hahaha navile nimejua mashimo, Saa hii namanuva bro, Ka Eskimo is to igloo, Basi shiftah is to the streets, Wanabow manze coz am the leautenat, Sina huruma nazimada hizi mabeat, Hommie am the beast, Am the best of the best, Hao wengine ni macrop pest, Wakodown ka carpet, Wanafaa warudi kwa drawin board, This a one man squad, But hawatoshi, Lyrics zao hazina bars, Zangu nikama tear gas Zinawafanya watoe machozi, Ka Jones hii ni mazishi, Wanakula yangu matapishi, Me nko makini nadunda na kick, Wanajiuliza kwani amerudi PAC, Mabom nalipua ka Hiroshima na Nagasaki, Me hawanipati, Wananisomba kileleni me tabaki, Can't dine with these snitches, I fuck em all bitches, Wamekubali kua me hawaniezi, Skia wee enda uimbe wamnyonyez na wamlambez, Hii game niyawazito jitulize apo kwa bench upakuliwe doz. Am me, Nanitabaki kua mimi, If u can't beat me, Then kuja ujiunge na mimi, Hili ni jogoo la shamba tayari linawika mjini, Nasepetuka zaidi ya Idi Amin, Nawanywa damu ka jini, Hii game niya ma Gangstar, Manati endeni mcheze rege, Napambana na matatizo ka chege, Najipa shughuli hata ka ni zege, Bora sku isiishe bila ngwenje.

1 Comments

Leave a comment

You may also like