Never let u go

37 Plays

24 Jun 2019

maumbile yako, Mapoz yako me yananifaa Macho yako, Figure yako me inani itaa, Nipate wapi zaidi yako, Kwako nmefikaaa, Takosa raha me mwenzako, Mbali ukiendaa Nataka daily niwe karibu yako, Sabu nimekupeeendaaa Baby you so beautiful Nakupenda ulivyo Surely I can't let you goo*2 Unavyo nidekeza wee, Jicho unavyo likonyeza ee, Kimapenzi unanishibisha wee, Unaniacha hoii, Kiuno unavyo kizungusha, me nalia woiii, Mtoto sopsop Ngozi yako laini, ukivaa kitop, Unanizingua mm, Nimependa kilakitu chako, Kutoka utosi hadi uwayo, That's why nikaamua kukupa moyo, We ni mrembo na hauna poyoyo, Unipende ujipendavyo usiwe mchoyo, Unipe raha me mwenzako kisoyosoyo, vifijo nanderemo wapige waseme arusi tunayo, We kwangu ndo kipoza roho, Unainukisha mboga vizuri ka pilipili hoho. Na venye fahenzana hangu fuchere ahoho.

1 Comments

Leave a comment

You may also like