Nafanya Mambo

20 Plays

18 Jun 2019

Nasema niko gado, Me nafanya mambo, Hivi ndo nifanyavo Toka kitambo*2 Me natetereka, Nabwaga mistari ya vina, Nimesimama wima, Natema bila kuhema, Microphone nimeshika, Verse ndio hii nawapa Javi nalitandika, Machizi wote nawalika, Toka pande za Africa, Jamaica pia na America, Club imefurika, Na bado wanajileta, Hili goma liko better, Ndio manake lina beta, Jasho linawatoka, Naona wakitoa masweta, Hip hop kamili Naitwanga na kuipepeta Nidhahiri shahiri Kwamba Leo nikukesha Nasema niko gado, Me nafanya mambo, Hivi ndo nifanyavo, Toka kitambo*2 Long time sana, Nakomaa nakipaza, Kwanza navo nguruma, Wengi nawashangaza, Alafu wanajiuliza, Vile kwa kipaza me hujaza, Si miujiza, Ni uzoefu na ujuzi, Hino game sijainza juzi, I've been doin this hommie, You can't tell me anything You can't show me anything I got experience, It's only that, I lack air play, But I will never lose hope Coz I believe There will come a day I will rock the air waves.

1 Comments

Leave a comment

You may also like