riziki

27 Plays

14 Jun 2019

nasaka riziki napiga muziki mali ni safi rada ni chafu pigwa bafu chafu life kwa street ni noma always a suspect pesa nataka pesa nasaka akuna story ya kesho leta iyo doo nataka ijae hii ndoo nikiskank mandom nikipass hii varse kama shash usidhani sikupass masters kwenye class cash ndio nadai uliza wandayi nazipenda walai street hustler lazima ntazima ma hater na ma lyrics kalikali npate pale base nimetulia polepole palepale dandora narusha makombora mi mkombozi that's way uwezi npata nimelalisha najivisha hii taji mina kipaji siko maji nko high uko low una boo unadoo

1 Comments

Leave a comment

5 years ago

You may also like