HISIA

33 Plays

22 May 2019

This is for you mabeby, The love you got for me,❤️ And the love I got for you We are one thing. Unanipa hisia Za mapenziiii Kila siku nalilia Lako penziiii Umenifanya nikupende, Utamu wako zaidi ya tende, Emu nishike mkono twende, Siniache weee, Unataka nikupendeje, Lale kifuani sihis njeve, kwa mgongo nikubebe, Siniache weee Unanipa hisia Za mapenziiii Kila siku nalilia Lako penziiii Nilikupenda For the first time nilipokuona, Macho yangu yalikufuata, Hadi ulipopiga Kona, Nilikufuata nyumanyuma, Kakusimamisha ukasimama, Kakueleza nimedata, Nawe hukusita, Ukanipa namba Ukasema tawasiliana. Unanipa hisia Za mapenziiii Kila siku nalilia Lako penziiii Bby wee ni ubavu wangu, Mekamilisha maisha yangu, Weni kila kitu changu, Yaan ndiwe muchangu, Mama wa anangu, Sifuate ya machangu, Wata tutia doa, Hawapendi nkikuoa, Mummy we ndo langu ua.

1 Comments

Leave a comment

You may also like