Athu Belloh
Athu Belloh

WELCOME TO HELL

WELCOME TO HELL

61 Plays

13 Mar 2019

karibu Jehannam../ huku hakuna vitamu.../ daily msoto huku hakuna ubinadamu.../ tunachomeka na moto, kwa dhambi tulizowahi tenda../ ni maumivu msoto hakuna tunachokipenda.../ ni mavuno ya tulichopanda.../ tulichokifanya kabla haijalia parapanda.../ karibu hell, the home of failer.../ wote tuliofell tupo huku tunalicheza trela.../ Tupo wengi wenye dhambi kubwa na hata chache.../ Wenye zambi za kuwaza za kutenda Na hata za ukweche.../ wapo mapadri masheikh tulowaamini.. / wapo pia mashori mabishoo walotutesa mjini.../ huku hakuna furaha bali mateso.../ machoZi yanavyomwagika utakuwa tajiri ukiuza leso.../ huku Hatuvimbi puto.../ atuchekeshi ila huwez amini huku kila mtu ni majuto.../ tupo mbali na pepo../ adhabu nyingi na kila jion prepo.../ hakuna ugali wala mseto.../ ubaya hakuna watoto wakali na hakuna pa kuipata deto.../ Malaika Wa Huku Hawana huruma.../ wanakupa kile ulichostahili kuchuma.../ hawakupi mda wa kuvuta pumzi hata utoe rushwa.../ na Kuna Kiu Kikali Ukija Uje Na mAji Ya Kunywa na Kuuza... WELCOM TO HELL

1 Comments

Leave a comment

5 years ago

You may also like