Essa254
Essa254

FREESTYLE

FREESTYLE

128 Plays

23 Nov 2018

Safari yangu ndefu siri imebeba kiatu/ ninachosema unafahamu usijesema nimefyatu. Maisha kula kwa dhiki hakuna pa kukaa, Nishapitia mengi nusura nikate tamaa Kuangaika gizani lini ntapata mwanga, yakasemwa mengi, Essa hana future Napambana siku zote na haso kusaka vumba/ washanipiga ndumba bado nikijikunja, Nazidi kumwomba Mola riziki kila kukicha, aniepushe na walimwengu dili kufanikisha Maisha tundu la sindano ipenyayo uzi pekee/ kushinda mapambano najikoki niwafyatue Maisha yamejaa ubinafsi mwenye nazo anasauti/ masikini mlala hoi lini ntavaa suti? watu wamejaa chuki chukiwa bila sababu/ yoh little success bado inawapa tabu, waziwazi nawafichuwa sura zimajaa ghadhabu...yeah Ugumu wamaisha ajuae Muumba pekee, Nigga ongeza bidii chunga usilegee/ alebaki kashabaki tembea usingojee, Everyday, anthem mihadarati/ tupeni hiyo ajira nasi tushike hizo ganji, Wazee wanasubiri nyumbani riziki nini/ na jua limeshazama hakuna kitu mfukoni, Nishasikia, story pesa haina mizizi/ leo nashangaa benki kuwa na matawi, Nauliza swali moja vipi ntapata jibu kipi kilitokea kati ya raiya na sansero/ maana imekuwa kero/ ndondo kiishio/ sometimes musu kwako kaburi ndo mbanyu yako/ shout out to my G's who living in cell/ I you're tryin hard believe me you've never fail mwombe God akuepushe na hell

1 Comments

Leave a comment

5 years ago

You may also like