pambana

13 Plays

03 Nov 2018

Godblizz Babaa akoooo Mimi ni kijana mwenye umri mdogo kushinda wote duniani Mmmmmmmh unapenda mambo ya kike wee mtoto wa kiume angalia watakuvalisha na sidilia Ndo nishatinga kwa vita kamwe sirudi nyuma ni kupambana mwendo wa kutafuta maduskoo Kazaa buti jombaa Ukizingua nakukacha Mengi yamesemwa ila napambana ata wewe mchizi wangu unaenisikiliza pambana mpaka utoke Kaza buti jombaa Naomba nimalizie hapo nadhani umenipataa.

1 Comments

Leave a comment

6 years ago

You may also like