Felo felix

FELO × GADO × RAZO BOY

Felo felix
FELO × GADO × RAZO BOY

5 Plays

19 hours ago

fell niko zone nimekam na mandom walai zimeshika razo boy toa chrome leo tuko form nikulewa bila loan leo ni kukesha kulewa na mandom alafu mbili moja siunajua tuko zone nikifika shop mi nataka za kuroll walai fello boy nikuwela bila call matoto yananow si ndo wazee wa form kila nikija show naja na full koss alafu razo on gado na fell boy washa undisha vuta kimeshika leo 2na kesha pka jogoo kuwika kma uwezani sije ukatibuka w2 wako danceflow kwanja wanaruka mambo ni super shida twazifuta sheree nikufuka na aluta vidada viko gozi wenye juru wamezukwa viskirt vinapita vinatingisha mwajuma na aisha hawakupi maisha Razor nishafika leo niko super madada mtajuta leo kuna mafuta usipo chunga utashika ukuta vuta vuta fello niko msuper funga funga vitu nikutifuka

2 Comments

Leave a comment

19 hours ago

G.O.A.T. 🐐

You may also like