Felo felix

FELO..PARTY💥💎💎

Felo felix
FELO..PARTY💥💎💎

2 Plays

9 days ago

Felo niko kwa paty ah fuli mashada skunki ah fuli fuli mi msafi ah kuna paka mishkaki ah kwanza nichomee skunki aah kila kona viskati aah ukibugi mi nakusinga mbili moja mi sina sifa ukizengua tutakuzika chnga chunga mi nishafika pisi kali kwanza katika wafuasi tumeshafika ngara shada nikutifuka debe sana ni kuzunguka alafu chunga niko na kifaa akuna huruma nikufunguka kali vitu vingi vya sura akuna bonyo mi sijafika kila denge wanatambu nikifika nikuchafua wanoko wangu mi nawajua kwangu kila atua dua razo boy siunajua kwetu kwetu sana full dua

1 Comments

Leave a comment

You may also like