Felo felix

FELO..STAR🥱🥱🤑

Felo felix
FELO..STAR🥱🥱🤑

6 Plays

11 days ago

kila nnapo bana ili nikate tamaa, moyo unakataa maana nataka chappa madada mtashangaa mana Felo boy star naishi kwa kungaa wala siitaji taa nikitokea kitaa madada wana raha nacheza na masaa bila saa weni ma alafu si star ukiniona nimekaa jua Felo nishavaa ukiniona sina raha jua niko na kifaa alafu chungaa,,mana sina sifaa alafu shida siunajua sinaa usilete vitaa kwetu kunatisha fyeka fyeka fika anga zao singa,,, bila filter vitu vya kutisha,,,Ni maisha japo tuna sifa twaishimimika bila kuwatisha tukifika sote Tunawika felo winner wanaiga sifa wanalazimisha tuliza kichwa dogo utazikwa mi ndo leader nigga wa maisha sita 6 nambaa ni ya vita maiti fika ujue sina sifa alafu mister tafupa pesa,, usiwaze sifa,,,Sifa zitafika wala sina shida Felo mi ndo leader vipi sister mbona unasita Felo nishafika acha kujificha wanakuficha Felo sina shida kwanza twanga picha nijenge future wajinga futa shada vuta vuta matembe rusha mi nakupa ruusa walai sister watajuta juta watakuvuka Felo nisharusha nitawasuka mi sicheki sura nishatibuka jua nitavuta kiatu funga mi niko na buster alafu chunga sija ukatuna hasira sina vitu ni vya sura chura chura kwetu nukufuka vitu funga leo kujinyuga

1 Comments

Leave a comment

You may also like