Said Said

Summer (15:32)

Said Said
Summer (15:32)

9 Plays

9 days ago

tulitafuta sana kazi sisi hatukuwa na pesaa pesaa,mana tulikuwa joblesi God bless si si tukawa mtaani tukachachaa tukadhulumiwaa tukachachaa tukachachaaa,sasa tumeshachachaa uraibu wote weetu mana hatuko busy,wazazi wetu nao sasa wamechoka,wanataka sisi tupambane ili wapate tongee,ukweli nikwamba a a aa tumesoma saana vyetu veti havina nguvu 💪 ,tulitafuta sana kazi sisi hatukuwa pesaa pesaa,mana tulikuwa joblesi God bless si si,tukawa mtaani tukachachaa tukadhulimiwaa tukachachaa tukachachaaaa,wachachee wetu tukazama tukatazamwa kwa mziiki na ligi kuu,wengine wakabuni biasharaa ndio inawapa ishaara Inshallah 🙏🤝,mengi magumu tunapitiaa,paka vichwa vyetu vimekuwa ngumuu kwa kuwa leo maisha ni magumuu,tulitafuta sana kazi Sisi hatukuwa na pesaa pesaa,mana tulikuwa joblesi God bless si si,tukawa mtaani tukachacha tukadhulumiwaa tukachachaa tukachachaa.

1 Comments

Leave a comment

You may also like