Iddy

street

Iddy
street

3 Plays

22 days ago

Asubui tu wazee wapo kwenye babo... Wao wanatusema sisi sisi tunawasema wao ... vijana na wazee wengi wao ni wazao ... Maendeleo akuna atumjui mchawi nani vijana tupo tupo tu kwa vile ndo nyumbani.. Walio na vyeti na wasio na vyeti atupigi mswaki wala hatukunji neti... kinamama nao pia awako nyuma ... Vibiashala vyao mtani wanasukuma... hapa kwa mama hamisi pale kwa mama jua... Ukinunua kwa huyu yule kule amenuna...

1 Comments

Leave a comment

You may also like